Back to All Events

Ufafanuzi wa Simulizi za hadithi


Tunakubali rasmi uwasilishaji wa hadithi kwa Kampeni yetu ya #SimuliziYakoNiBaadayeYetu! Jiunge nasi kati ya tarehe 24 Novemba na 5 Desemba katika moja ya muhtasari wetu ili kujifunza zaidi kuhusu kampeni ya #SimuliziYakoNiBaadayeYetu, kugundua faida za kushiriki, kuelewa mchakato wa uwasilishaji, kupata vidokezo vya namna ya kuwasilisha hadithi pia kushiriki katika uwanja wa Maswali na Majibu. Ufafanuzi utafanyika kwa Kiingereza (x2), Kiswahili, Kiarabu, Kifaransa, Kihispania, na Kireno ndani ya wiki mbili. Jisajili hapa: bit.ly/3pAgKyR

12.png